Habari za uhakika zilizopatikana hivi punde ni kwamba mkuu wa mkoa wa
mara John Tupa ameanguka ghafla na kutokwa na povu Wakati akitoka nje ya
ofisi ya Mkuu wa Wilaya (DC) Tarime na kuelekea kupanda gari yake
tayari kuanza ziara ya Tarime...
Amekimbizwa hospitali ya Wilaya; lakini taarifa za uhakika ni kuwa AMEFARIKI DUNIA.
0 Comments
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia