KIKWETE AKUTANA NA BINTI MFALME WA SWEDEN, IKULU DAR ES SALAAM

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Binti wa Mfalme wa
Sweden HRH Crown Princess, Victoria Lugrid Alice Desiree,
alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam jana mchana.

Picha ya pamoja.....

wakitoka kwenye mazungumzo yao.....:Picha na Ikulu
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia