MAKANYAGA BAR YAIBUKA MSHINDI WA SAFARI NYAMA CHOMA MKOA WA KILIMANJARO
| Mchoma nyama mkuu wa Baa ya Makanyaga akishangilia ubingwa wake katika shindano la mwaka huu la Safari Lager Nyama choma 2014. |
| Mkuu wa Magereza mkoani Kilimanjaro (RPO), ACP Hamis Nkubasi, akimkabidhi Mchoma nyama mkuu wa baa ya Makanyaga, Rogarth Frimini. |
| Mwakilishi wa Baa ya Forest, Thadeus Mushi (kushoto)akishangiliana mfanyakazi mwenzake baada ya kuibuka mshindi wa pili katika shindano la mwaka huu la Safari Lager nyama choma 2014, mjini Moshi. |
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia