EDWARD LOWASSA ASHIRIKI MAZISHI YA BALOZI KAZAURA , MISENYI KAGERA


 Rais Dr Jakaya KIkwete, pamoja waziri mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na viongozi wengine katika mazishi ya balozi Fulgence Kazaura  huko Misenyi Kagera
 Waziri mkuu mstaafu Mh. Edward Lowassa akisalimiana na mkuu wa zamani wa Chuo kikuu cha dar es salaam balozi Nicolaus Kuhanga huku Makamu mkuu wa Chuo hicho hivi sasa Profesa Rwekaza Mukandala(katikati) akisikiliza,wakati wa mazishi ya mkuu wa Chuo hicho balozi Fulgence Kazaura.


 Lowassa akimfariji mjane wa marehemu.
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu balozi Fulgence Kazaura kabla ya kuzikwa kijijini Mganda wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera Jumamosi

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia