HAYA NDO MATOKEO YA UCHAGUZI WA UBUNGE KATIKA JIMBO LA KALENGA NA JINSI WANANCHI WA CCM WALIVYOSHEREKEA USHINDI

 
 Wanakalenga hii leo Wamechagua Mbunge wa Jimbo lao na haya hapa ndio FINAL RESULT,MATOKEO YA JUMLA.
CCM wamepata Kura 22908 
CHADEMA Wamepata Kura 5800 
Chausta 143.
CCM imeshinda kwa asilimia 79.4 
Chadema kwa Asilimia 20.1 
Chausta Kwa Asilimia  0.5
HONGERA GODFREY WILLIAM MGIMWA MBUNGE WA JIMBO LA KALENGA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 32 TU. 
 
 



About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia