BREAKING NEWS

Friday, March 28, 2014

MAELFU WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN TUPPA

Mama Maria Nyerere katika maombolezo ya  aliyekuwa mkuu wa mkoa
Mama Maria Nyerere katika maombolezo ya aliyekuwa mkuu wa mkoa


MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA UKITOLEWA KWENYE MAKAZI YAKE


WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA

KUTOKA KUSHOTO KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MARA POUL KASABAGO,M NEC WA CCM CHRISTOPHER GACHUMA,M NEC WA BUNDA CCM…
KUTOKA KUSHOTO MWAKILISHI WA CHANEL TEN AUGUSTINE MGENDI,GEORGE MARATU WA ITV NA FLORENCE FOCAS WA MWANANCHI
MWENYEKITI WA BAKWATA MUSOMA MJINI AKIWA NA ASKOFU MSONGANZILA WA KANISA KATORIKI
RAIS WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KENETH SIMBEYA AKITOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI
MTOTO WA MAREHEMU AITWAYE GABRIEL JOHN TUPA AKITOA SHUKURANI

ASKOFU MSONGANZILA AKIWEKA SAHIHI KWENYE KITABU CHA WAOMBOLEZAJI
AKIAGA MWILI
MMOJA WA WAANDISHI WA HABARI NGULI BIGAMBO JEJE AKIAGA MWILI
SEHEMU YA WAOMBOLEZAJI WAKIENDA KUAGA MWILI


WANAFUNZI WA SHULE PIA WALIHUDHULIA
MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA LIKIWA KWENYE GARI MAALUMU UKITOKA KWENYE MAKAZI YAKE KWENDA KANISANI
MWILI UMEPOKELEWA LANGO KUU LA KANISA KATORIKI
MKE WA JOHN TUPA WA PILI KUTOKA KUSHOTO AKIWA NA WANAFAMILIA KANISANI
MAELFU ya wananchi wa mkoa wa Mara
pamoja na mikoa jirani wakiongozwa na viongozi
wa Serikali,Dini na vyama vya Siasa wameuaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa
Mara John Gabriel Tupa aliyefariki juzi asubuhi akiwa wilayaniTarime kwa
shughuli za kikazi.
 


Akitoa salamu za rambirambi za Serikali mkoani Mara,Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Mara Bartazal Kichinda alisema walipokea kwa masikitiko makubwa msiba wa ghafla wa mkuu wa mkoa wa Mara John
Gabriel Tupa  kwa kuwa msiba huo umekuja
wakati mchango  na usaidizi wa kiongozi
huyo ukiwa unahitajika zaidi mkoani Mara.
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA SHOMARI BINDA

Share this:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

 
Back To Top
Copyright © 2014 MOUNT KILI NEWS. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates