Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze,
Ridhiwani Jakaya Kikwete, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji
cha Visakazi, katika kata ya Ubena leo
Wananchi wa kijiji cha Visakazi wakinyoosha mikono kuonyesha kumuuunga mkono Ridhiwani wakati wa mkutano huo.
Wananchi wa kijiji cha Visakazi wakinyoosha mikono kuonyesha kumuuunga mkono Ridhiwani wakati wa mkutano huo.
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Pwani, Mwinshehe Mlai akimpa ushauri Ridhiwani, kabla ua
kumpa nafasi ya kuomba kura kwa wananchi wa kijiji cha Visakazi katika
kaya hiyo leo.
Mwenyekiti huyo wa CCM Mkoa wa Pwani, akimnadi Ridhiwani katika mkutano wa kampeni uliofanyika Visakazi katika kaya hiyo
Watoto wakijaribu kutumia simu ya mkononi kupata picha ya Ridhiwani wakati wakihutubia Kijiji cha Visakazi
Mzee Hemedi Ali akiongoza kutumbuiza ngoma ya kumlaki Ridhiwani katika kijiji cha Mwidu kata ya Ubena
Ridhiwani akiwasalimia wapigakura alipokwenda kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Mwidu
Ridhiwani akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Ubena Zomozi alipokwenda kuhutubia mkutano wa kampeni
Ridhiwani akionyesha furaha yake
Sam wa Ukweli akitumbuiza Ubena Zomozi kwenye mkutano wa kampeni wa Ridhiwani