TWASIRA YA ZIARA YA RAIS WA KENYA AMBAYE NI MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI UHURU KENYATA WAKATI ALIPOKUWA ANAZINDUA RASMI BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Rais wa kenya ambaye ni mwenyekiti wa jumuiya ya Afrika mashariki Uhuru
Kenyata akiwa anapanda mti nje ya jengo la ofisi ya makao makuu ya
jumuiya ya afrika mashariki jana wakati alipokuwa na ziara ya sikumbili
ya kutembelea makao makuu ya jumuiya hiyo.
| waandishi wa habari wakiwa wanamngoja mwenyekiti wa jumuiya ya Afrika mashariki kuwasili katika jengo la jumuiya ya afrika mashariki |
| Mwenyekiti wa jumuiya ya Afrika mashariki akisalimiana na spika wa bunge la jumuiyay a Afrika mashariki Magrethi Zziwa wakati alipowasili katika viwanja vya makao makuu ya jumuiya hiyo |
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia