
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete
akilakiwa na Wananchi wakazi wa Kijiji cha Chahua,Kata ya Bwilingu leo
Machi 27, 2014 wakati wa Muendelezo wa Kampeni zake za kuomba ridhaa kwa
Wananchi hao ya kuwa kiongozi wao kwa Maendeleo ya Jimbo la Chalinze.Picha zote na Othman Michuzi.

Mwanamuziki
wa Muziki wa Kizazi Kipya,Hafsa Kazinja akitoa burudani huku akiwa
amezungukwa na Wakinamama Wakazi wa Kijiji cha Chahua,Kata ya Bwilingu
leo Machi 27, 2014 wakati wa Muendelezo wa Kampeni za CCM katika
Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze.


