Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mjumbe Maalum wa Rais wa
Afrika Kusini Mhe. Maite Nkoana-Mashabane, ambaye ni Waziri wa Mambo ya
Nje wa nvhi hiyo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika
Kusini Mhe. Maite Nkoana-Mashabane, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa
nvhi hiyo Ikulu jijini Dar es salaam