Rais wa kenya ambaye ni mwenyekiti wa jumuiya ya Afrika mashariki Uhuru
Kenyata akiwa anapanda mti nje ya jengo la ofisi ya makao makuu ya
jumuiya ya afrika mashariki jana wakati alipokuwa na ziara ya sikumbili
ya kutembelea makao makuu ya jumuiya hiyo.
|
mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mullongo akiwa na mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela wakiwa wanamsubiri rais wa kenya Ambaye pia ni mwenyekiti wa bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki Uhuru Kenyata kuwasili katika jengo la makao makuu ya jumuiya ya Afrika mashariki |
|
waandishi wa habari wakiwa wanamngoja mwenyekiti wa jumuiya ya Afrika mashariki kuwasili katika jengo la jumuiya ya afrika mashariki |
|
Mwenyekiti wa jumuiya ya Afrika mashariki akisalimiana na spika wa bunge la jumuiyay a Afrika mashariki Magrethi Zziwa wakati alipowasili katika viwanja vya makao makuu ya jumuiya hiyo |