OBAMA AMALIZA ZIARA YAKE TANZANIA AONDOKA ASINDIKIZWA NA MWENYEJI WAKE RAIS KIKWETE

Rais
wa 44 wa Marekanai, Barrack Obama kushoto ametua nchini Tanzania kwa
mara ya kwanza muda huu kulia ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete,ziara ya
rais Obama imemalizika majira ya saa 5.56 asubuhi na ndege yake
kuchukua kasi ya kuruka majira ya saa 12.02 mchana ndipo ndege yake
inaruka kuelekea nchini kwake Marekani 
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia