OBAMA AMALIZA ZIARA YAKE TANZANIA AONDOKA ASINDIKIZWA NA MWENYEJI WAKE RAIS KIKWETE


Rais wa 44 wa Marekanai, Barrack Obama kushoto ametua nchini Tanzania kwa mara ya kwanza muda huu kulia ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete,ziara ya  rais Obama  imemalizika  majira ya saa 5.56 asubuhi  na  ndege yake  kuchukua kasi ya  kuruka majira ya saa 12.02 mchana ndipo   ndege yake  inaruka  kuelekea nchini kwake Marekani

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia