WANAWAKE WA JESHI LA POLISI NCHINI WATEMBELEA BANDA LA UMOJA WA MATAIFA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

photo (17)
Picha juu na chini ni Baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi nchini wakiangalia baadhi ya vipeperushi na majarida mbalimbali ya Umoja wa Mataifa kuhusu katika Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa lililopo Karume Hall kwenye maonyesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika uwanja wa Mwalimu Nyerere uliopo barabara ya Kilwa wilayani Temeke jijini Dar es Salaam. Na Kauli mbiu ya Mwaka huu ya Umoja wa Mataifa katika maonyesho haya ni "Kufanya kazi kwa pamoja na Watoto, Vijana na Wanawake".
Unaweza Ku-like page yao hapa na kupata habari zaidi https://www.facebook.com/UNTanzania
photo (15)
photo (14)
Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa Tanzania Hoyce Temu akitoa maelezo kwa baadhi ya maaskari wa jeshi la polisi kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na Taasisi za Umoja wa Mataifa hapaTanzania.
photo (11)
photo (21)
Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Usia Nkhoma Ledama akizungumza na baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la Umoja wa Mataifa kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam leo.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post