Mbunge wa jimbo la monduli Mheshimiwa Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli anatarajia kutarajiwa kukizima kiu cha mda mrefu kilichokuwa kikiwa sumbua wananchi wengi juu ya yeye kutangaza rasmi nia ya kugombea nafasi ya Urais katika nchi hii. mbunge huyo anataraja kutangaza rasmi jumamosi ya wiki hii nia yake ndani ya stadim jijini arusha |