Balozi wa Heshima wa Djibhout nchini Tanzania Balozi Said
Amin Shamo akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha mazoezi
Universal Body Fitness kilichopo ndani ya jengo la Shamo Tower,Mbezi beach
jijini dar,hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki.
Makofi na shangwe za furaha zilisikika mara baada ya Balozi
wa Heshima wa Djibhout nchini Tanzania Balozi Said Amin Shamo kukata utepe
wa kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha mazoezi Universal Body Fitness
kilichopo ndani ya jengo la Shamo Tower,Mbezi beach jijini dar,hafla hiyo
ilifanyika mwishoni mwa wiki na kuhudhuriwa na wadau
mbalimbali.
Mkurugenzi wa Universal Body Fitness Bi.Mariam Shamo wa
kwanza kulia akiwa na wageni waliohudhuria ufunguzi
huo.
Sehemu ya mazoezi yakiendelea kwa wshiriki wa Universal
Body Fitness
Pichani shoto ni Mkurugenzi wa Universal Body Fitness
Bi.Mariam Shamo akiwa na baadhi ya wafanyakazi,mara baada ya kufanyika
uzinduzi wa kituo hucho kilicho na vifaa vya kisasa.