Muonekano wa ndani wa ukumbi mpya wa mikutano uliojengwa na
CCM mjini Dodoma ambao uko katika hatua za mwisho kukamilika kabla ya
kuanza kutumika.Ukumbi huu upo karibu na jengo la Benki Kuu,
njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha Dodoma - UDOM.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na CCM. |
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na CCM. Kulia ni makamu mwenyekiti wa
CCM Bara Philip Mangula.
Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makandarasi
wanaojenga ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Dodoma unaojengwa na
CCM, leo.Ukumbi huu upo karibu na Benki Kuu, njia ya kuelekea Chuo
Kikuu cha Dodoma.
Muonekano
wa ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Dodoma. Picha na Freddy
Maro.