Yakiwa yamebakia masaa machache tu ile party iliokua ikisubiriwa kwa hamu Zari All White party kufanyika jijini Dar.
Pati
ambayo imeandaliwa na Zari aka Mrs Chibu Dangote pamoja na mpenzi wa
zamani wa Wema Sepetu bwana Diamond Platnumz aka Chibu Dangote…
Madam
Wema Sepetu nae akaona alipize kisasi kwa kwenda kufaya party yake
jijini Mwanza kesho May 2nd, Jembe ni Jembe Club, akiwa na Mshindi wa
Big Brother 2014 Idris Sultan. Kukiwa na fununu kwamba kwa sasa
kishkwambi kipya cha Milionea mtoto huyo ni Wema Sepetu.. Je tutegemee
drama jipya mjini?