Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF)
Amina Mwidau akisalimiana na wakina mama wakati alipotembelea hospitali ya
wilaya ya Pangani jana kuwaona wagonjwa kuwafariji na kugawa zawadi
mbalimbali ikiwemo sabuni,sukari pamoja na mahitaji muhimu na kukabidhi
jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na
mbunge huyo,Picha na Mpiga Picha wetu,Pangani..

kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya
Pangani,Mugiri Emili akisisitiza jambo kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa
Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau wakati akipotembelea hospitali hiyo
kuwafariji wagonjwa na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni,sukari
ikiwemo mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa
alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na mbunge huyo,Picha na Mpiga
Picha wetu,Pangani.