RAIS KIKWETE ATEUA MAJAJI WAWILI WA MAHAKAMA YA RUFAA



THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone:255-22-2114512, 2116898
Website : www.ikulu.go.tz

Fax: 255-22-2113425


Coat of Arms
PRESIDENT’S OFFICE,
      STATE HOUSE,
              1 BARACK OBAMA ROAD,  
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

RaiswaJamhuriyaMuuganowa Tanzania, MheshimiwaJakayaMrishoKikweteamewateuaMajajiwawiliwaMahakamaKuuya Tanzania kuwaMajajiwaMahakamayaRufanikuanziaJumamosiiliyopita, Aprili 24, 2015, taarifailiyotolewa Dar es Salaam, leo, Alhamisi, Aprili 30, 2025 naOfisiyaKatibuMkuuKiongozi (KMK) imesema.
TaarifahiyoimewatajawajajihaokuwaniJaji  AugustineGherabastMwarijanaJaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambaowotewamekuwaMajajiwaMahakamaKuuya Tanzania tokeawalipoteuliwaNovemba 28, 2006.
Kablayauteuzi wake, JajiMwarijaalikuwaJajiMfawadhi, Kitengo cha Biashara, MahakamaKuu, Dar Es Salaam. KablayakuwaJajiwaMahakamaKuualikuwaMsajiliwaMahakamayaRufanikatiyamwaka 2003 na 2006.
AliajiriwakamaHakimuMkaziDaraja la TatuFebruari 2, mwaka 1987, baadayakupataShahadayaSheriamwaka 1986.
NayeJajiMugasha, kablayauteuzi wake, alikuwaJajiMfawidhi, Dar es Salaam.AlikuwaMfawidhi, MahakamaKuu, Kanda ya Arusha naawali Kanda ya Moshi tangu 2009 hadialipohamishiwaMahakamaKuu, Dar Es Salaam.
AliajiriwakamaWakiliwaSerikalimwaka 1983 baadayakupataShahadayaSheriamwakahuohuo, 1983.

Mwisho.

Imetolewana:
KurugenziyaMawasilianoyaRais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.

30 April, 2015

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post