MKUU WA KITENGO CHA MASOKO CHA TAASISI YA UTOAJI MIKOPO YA (UTT Microfinance Institution - UTT MFI) ,MARY KIPEJA AKIWAELEZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT) JUU YA FURSA ZA MIKOPO ZINAZOPATIKANA KATIKA TAASISI HIYO.


Mkuu wa Kitengo cha Masoko cha Mfuko wa cha Taasisi ya  utoaji mikopo  (UTT
Microfinance Institution - UTT MFI)  ,Mary Kipeja akiwaeleza Wanachama wa
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) fursa za upatikanaji wa mikopo zilizoko
katika taasisi hiyo  jijini Arusha jana katika Mkutano mkuu wa chama
hicho


Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post