Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipanda ndege katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Houari
Boumediene jijini Algiers Jumatatu May 11, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake
rasmi ya siku tatu nchini humo
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond Mushi
alipowasili kutoka Algeria katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo May 12,
2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini
Algeria.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es salam
Suleiman Kova, Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond Mushi, Mkuu wa Wilaya
ya Temeke Mhe. Sophia Mjema na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Paul Makonda
alipowasili kutoka Algeria katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo May 12,
2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini Algeria
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na Marubani na Wafanyakazi wa
Shirika la ndege la Tassili la Algeria baada ya kuwsili katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo May
12, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini
Algeria