.
Mbunge wa Arusha Mjini, Mh Godbless Lema kupitia Arusha Development Fund (ArDF) amesaini makubaliano na wafadhili kufanikisha ujenzi wa hospitali ya Mama na Mtoto Jijini Arusha wenye thamani ya US$ Mil 3.2 Makabidhiano hayo yamefanyika eneo la Burka katika kiwanja ambacho Lema alikabidhiwa na Mawalla Advoctes mapema leo asubuhi |