Kundi la Vijana ambao ni marafiki wa Lowasa Kanda ya Kaskazini. |
Mratibu wa Marafiki wa Lowasa kanda ya Kaskazini Noel Nnko akitoka kufanya usajili kaba ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro. |
Mratibu wa marafiki wa Lowasa Noel Nnko akiagwa na mdau wa utalii kanda ya kaskazini Aggrey Makia kabla kundi la vijana ambao ni marafiki wa Lowasa wanaopanda mlima Kilimanjaro. |
Baadhi ya vijana . |
Mratibu wa marafiki wa Lowasa kanda ya kaskazini ,Noel Nnko akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro. |
Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro ikanza. |
Askari wa hifadhi akiwapekua wasaidizi wa watalii kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro. |
Kundi
la vijana ambao wanajitaja kama marafiki wa Lowasa wakiwa katika njia
ya kuanzia kupanda Mlima Kilimanjaro katika lango la Marangu. |