auto; text-align: center;">
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Megatrade
Investment Ltd ya jijini A rusha ,kanda ya Kaskazini ,Edmund Rutaraka
akikabidhi hundi ya kiasi cha sh Mil ,1.5 kwa mwenyekiti wa chama cha
soka mkoa wa Kilimanjaro(KRFA) Gudluck Mushi kwa ajili ya kuisadia
timu ya Kilimanjaro fc inayoshiriki ligi ya mabingwa wa mikoaikiwa
kituo cha Lindi.
Hundi iliyotolewa na kampuni ya Megatrade Investment Ltd. |
Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Gudluck Mushi akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa pesa kiasi cha sh Mil,1.5 kutoka kampuni ya Megatrade kwa ajili ya timu ya Kilimnjaro fc. |
Katibu wa Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro,Mohamed Musa akitoa neno la shukrani mara baada ya kupokea msaada wa fedha toka kampuni ya Megatrade. |
Katibu wa kundi la mtandao wa Soka letu ,Godfrey Madegwa akizungumza namna ambavyo kundi hilo la wadau linavyo pambana kutafuta fedha za kuisadia klabu ya Kilimanjaro fc. |