mkutano wa NHIF mkoa wa Arusha na wanachama wa chama wa waongoza watalii nchini ( TTGA) uliofanyika Hotel Moner jijini Arusha kuwahamasisha kujiunga na mfuko wa taifa wa bima ya afya.
bywoinde-
0
anayetoa maelezo ni afisa matekelezo wa NHIF mkoa Arusha, Desderius Buhiye
muongoza watalii Julius Mwenda akiuliza swali juu ya mfuko huo, utakavyowasaidia wakiwa nje ya mkoa.