Wimbo wa Ruby Na Yule unaweka wazi Vitu ambavyo Vitakufanya uamini kuwa Mama Kaylah Mke wa Shetta Hajarudi nyumbani baada ya Kumwacha Shetta kwa Kile alichokidai kuwa Shetta Amechepuka na Mwanadada wa Bongo Movie Rose Ndauka.
Kwenye
mahojiano ya Juzi Tarehe 29 aliyofanya na Kipindi cha DUNDO cha MJ FM
ambapo Shetta alikuwa anaizungumzia Ngoma ya mtu mwingine Ambayo
anaikubali Kuliko ambapo aliuchagua wimbo wa Ruby Uitwao NA YULE kama
Hit On Chart yake na Hapo ndipo akabanwa na DjHaazu Akazungumza KUPITIA
DUNDO HIT ON CHART.
Kama
unaifahamu vizuri ngoma ya Ruby Na Yule Hutapingana na mimi kuwa ni
wimbo ambao unaweza Kuudedicate kwa Mpenzi wako Mpyaaaaaaaaa..... Sasa
Shetta na Mkewe wamepeana Likizo Kimpango Flani sasa unajiuliza Mpenzi
Mpya kwake ni naniiiiiii?
KILICHOTOKEA HEWANI KISIKILIZE HAPA CHINI NA UJIULIZE JE ANAMMAANISHA ROSE NDAUKA ANGELETWA MAPEMA KWAKE??
CLICK LINK HII ------> Haazu - SHETTA AKIONGEA NA DJ HAAZU MAMBO JAMBO RADIO - Download and Stream | Audiomack