mkutano wa NHIF mkoa wa Arusha na wanachama wa chama wa waongoza watalii nchini ( TTGA) uliofanyika Hotel Moner jijini Arusha kuwahamasisha kujiunga na mfuko wa taifa wa bima ya afya.

 anayetoa maelezo  ni afisa matekelezo wa NHIF mkoa Arusha, Desderius Buhiye 
muongoza watalii Julius Mwenda akiuliza swali juu ya mfuko huo, utakavyowasaidia wakiwa nje ya mkoa.
Add caption

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia