Afisa Mtendaji wa Chama cha Wafanyabiashara ,Wakulima na wenye viwanda (TCCIA) Arusha ,Sia Charles akifafanua jambo katika Semina ya biashara kati ya India na Tanzania iliyofanyika jijini Arusha hivi karibuni. Semina imeandaliwana Kamisheni hiyo pamoja na Chama cha Wafanyabishara ,na wakulima na wenye Viwanda Arusha ( TCCIA ) |
-
0 Comments
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia