Mbunge wa Arumeru Magharibi Goodluck Ole Medeye akifafanua
jambo katika kikao cha Baraza la madiwani kilichojadili bajeti ya Halmashauri
ya Wilaya ya Arusha mjini kwa mwaka 2015/2016 ambapo kiasi cha shilingi bilioni
42.7 zimetengwa kusaidia upatikanaji wa huduma za maji,afya na elimu kama
vipaumbele vikuu.Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Arusha
Fidelis Lumato,Mwenyekiti wa Halmashauri Saimon Saning`o na kaimu Mwenyekiti
Anna Agatha Msuya.Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa
Halmashauri.
MBUNGE WA ARUMERU MAGHARIBI GOODLUCK OLE MEDEYE AKIFAFANUA JAMBO KATIKAKIKAO CHA KUJADILI BAJETI HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA ,AMBAPO KIASI CHA SHILINGI BILIONI 42.7 ZIMETENGWA.