MTAMBUE MSANII WA BONGO FLEVA ANAEJUA KUPIGIALIA PAMBA KULIKO WOTE


Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini utapata jibu. Hizi ni baadhi ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.




About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia