RAIS KIKWETE AHAMASISHA MCHANGO WA DOLA BILIONI 7.5 KWA AJILI YA CHANJO YA WATOTO NCHI MASIKINI DUNIANI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kupokea  tuzo ya
GAVI toka kwa mwenyekiti wa Bodi wa taasisi hiyo Bw. Dagfinn Høybråten
kutokana na mchango wakd mkubwa katika kuundwa na hatimaye kusimia
utekelezaji wa mipango ya GAVI hata kufanikisha upya juhudi za
kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation
(GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo
mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali
mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza
maisha

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika hatua
mbalimbali za  mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya
juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and
Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo
duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia
magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari
ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Mwenyekiti Mwenza wa
Bill&Melinda Gates Foundation,  Bw.  Bill Gates, huku Waziri wa
Maendeleo ya Uchumi wa Ujerumani Bw. Gerd Muller, Rais wa Mali Mhe.
Ibrahim Boubacar Keïta  jijini Berlin, Ujerumani, wakati wa chakula
cha jioni cha mazungumzo na harambee ya  kuchangisha fedha katika
mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa
za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI)
ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka
sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali
na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo ya GAVI toka kwa
mwenyekiti wa Bodi wa taasisi hiyo Bw. Dagfinn Høybråten kutokana na
mchango wakd mkubwa katika kuundwa na hatimaye kusimia utekelezaji wa
mipango ya GAVI hata kufanikisha upya juhudi za kimataifa za taasisi
ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo
imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa
watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na
wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post