Pichani kati ni Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dkt Jakaya
Kikwete,akiwaongoza wajumbe (hawapo pichani) wa Kikao cha kawaida cha
Kamati Kuu ndani ya ukumbi ya Afisi ya CCM makao Makuu Kisiwandui mjini
Zanzibar,Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na shoto ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM,Dkt.Ali Mohamed Shein
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwakaribisha Wajumbe wa kikao cha
kawaida cha kamati Kuu ya CCM,ndani ya ukumbi ya Afisi ya CCM makao
Makuu Kisiwandui mjini Zanzibar
Wajumbe
wa Kikao cha Kawaida cha Kamati Kuu ya CCM,wakiwa katika ukumbi wa
Afisi ya CCM makao Makuu Kisiwandui mjini Zanzibar,tayari kwa kuanza
kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho,Rais Dkt Jakaya
Kikwete.
Mwenyekiti wa CCM,Rais Dkt Jakaya Kikwete akipokelewa na Katibu Mkuu
wa CCM,Ndg.Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwasili katika ukumbi wa Afisi
Kuu ya CCM,Kisiwandui mjini Zanzibar kabla ya kuanza kwa kikao cha
kawaida cha Kamati Kuu ya CCM,kilichofanyika leo mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg.Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Makamu
Mwenyekiti wa CCM,Dkt.Ali Mohamed Shein nje ya ukumbi kabla ya kuanza
kwa kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM,kilichofanyika leo katika
ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM,Kisiwandui mjini Zanzibar.
Makamu
wa Rais,Dkt.Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na Naibu katibu Mkuu
CCM-Zanzibar Ndg.Vuai Ali Vuai alipokuwa akiwasili katika kikao cha
kawaida cha Kamati Kuu ya CCM,kilichofanyika leo katika ukumbi wa Afisi
Kuu ya CCM,Kisiwandui mjini Zanzibar.
Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu katibu Mkuu
CCM-Zanzibar Ndg.Vuai Ali Vuai alipokuwa akiwasili katika kikao cha
kawaida cha Kamati Kuu ya CCM,kilichofanyika leo katika ukumbi wa Afisi
Kuu ya CCM,Kisiwandui mjini Zanzibar.
Makamu Mwenyeki wa Chama cha CCM Bara,Ndg.Philip Mangula akipokelewa
wakati alipokuwa akiwasili katika kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya
CCM,kilichofanyika leo katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM,Kisiwandui
mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wanahabari wakiwa nje ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM,Kisiwandui mjini Zanzibar mapema leo
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM pichani kulia Ndg.William Lukuvi na shoto
ni Ndg.Adam Kimbisa wakiwasili katika ukumbi wa Afisi Kuu ya
CCM,Kisiwandui mjini Zanzibar