KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali
Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali
ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao
ni Mhe Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari
katika wodi hiyo.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post