TANZANIA EDUCATION COLLEGE YAJIPANGA KWA SURPRISE KIBAO MSIMU WA 2015


TANZANIA EDUCATION COLLEGE....Jiandae kwa msimu mpya wa 2015 wenye suprises kibao!!
Karibu chuoni kwetu kwa ajili ya kujifunza kozi mbalimbali katika ngazi ya Certificate pia Diploma zikiwemo Utangazaji,, Uandishi wa Habari,, Law,,Biashara,, Human Resources mgt.,, Clearing & Forwarding,, Ualimu wa Chekechea,, Hoteli na Utalii.
Mafunzo ya ujasiriamali, kompyuta na Lugha ni bure kwa yeyote atayejifunza kozi yoyote hapo juu.
Jiunge na muhula wa Januari 13, 2015 sasa.

Hosteli za kisasa zipo kwa jinsia zote.
Vifaa vya kujifunzia vipo na ni bure, au tutembelee kwa

Fika Kimara Bucha, Dar es salaam au tupigie kwa
0714 670 490, , 0754 52 52 10 au 0786 22 33 43(whatsapp).

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post