WAFANYABIASHARA SOKO LA VINYAGO MASAI MARKET LILILOTEKETEA KWA MOTO HIVI KARIBUNI WAKIPEWA KIFUTA MACHOZI NA BENKI YA FINCA

 Wafanyabiashara wa soko la vinyago  la Mount Mure Curio Craft maarufu kama
Masai Market wakishangilia baada ya kupatiwa kifuta machozi cha shilingi
milioni 17 na benki ya Finca ambayo pia iliwafutia mikopo kutokana na
kuteketea kwa moto kwa soko hivi karibuni .Kulia Meneja wa kanda wa benki
hiyo Moses Haule.Wapili kulia mstari wa nyuma ni Baraka Jekonia  Meneja wa
benki hiyo tawi la Arusha Meru.
 Wafanyabiashara wa soko la vinyago  la Mount Mure Curio Craft maarufu kama
Masai Market wakishangilia baada ya kupatiwa kifuta machozi cha shilingi
milioni 17 na benki ya Finca ambayo pia iliwafutia mikopo kutokana na
kuteketea kwa moto Hivi karibuni .Kulia Meneja wa kanda wa benki hiyo Moses
Haule
Wafanyabiashara wa soko la vinyago  la Mount Mure Curio Craft maarufu kama
Masai Market wakishangilia baada ya kupatiwa kifuta machozi cha shilingi
milioni 17 na benki ya Finca ambayo pia iliwafutia mikopo kutokana na
kuteketea kwa moto kwa soko hilo mwezi uliopita.Kulia Meneja wa kanda wa
benki hiyo Moses Haule.Picha na Ferdinand Shayo

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post