Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la
Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa
Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress walipokutana kwenye hoteli
ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.
Balozi
wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress akiongea kwa kusisitiza
jambo wakati wa mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya
nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo
Januari 15,2015.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la
Monduli,Mh. Edward Lowassa akisisitiza jambo wakati akiwa kwenye
mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress
walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo
Januari 15,2015.