picha ya juu na chini ni wanamuziki wa bendi ya flomena Band ilioyo mkoani Kilimanjaro katika wilayani Hai wakiwa wanafanya vitu vyao vya kuwapagawisha wateja wao
hii ini mfano wa nyama choma inayopatikana katika ukumbi huo wa flomena bar $Restaurent iliyopo boma ngome wilayani hai