RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UFARANSA FRANCOIS HOLLANDE JIJINI PARIS

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa
maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris umatano 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo
na  mwenyeji wake kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande
Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano
jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois
Hollande.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais
Francois Hollande  katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs
L’Elysee jijini Paris


Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post