TASWIRA YA RAIS KIKWETE AKIMUAGA BALOZI WA ALGERIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kuagana na Balozi wa
Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel,  Ikulu jijini Dar es
Salaam, Jumanne jioni January 13, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya
kumaliza muda wake wa kazi nchini.


PICHA NA IKULU

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post