Wananchi wakiwa katika shamrashamra za kumpokea Katibu wa NEC,
Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Ruvuma
mjini Songea, alipowasili kwa ajili ya kuanzisha amsha amsha ya
Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM ambayo inafanyika Jumapili hii, Kitaifa
mjini Songea kwa kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.
Mratibu wa Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM, Emaanuel John Nchimbi
akiwasili kwenye Ofisi hiyo ya CCM mkoa wa Ruvuma kumpokea Nape
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akiongoza
wananchi kwenda katika maeneo mbalimbali kuzindua mashina ya
Wajasiriamali wa CCM na kuhutubia mkutano wa hadhara, baada ya kuwasili mjini Songea

Mwanamke akihanikiza kwa vigelegele kumshangilia Napa wakati
wakipita kwenye moja ya mitaa maarufu ya mjini Songea wakati akienda
kufungua matawi ya Wajasiriamali wa CCM na kuhutubia mkutano wa hadhara
Kina Mama wakimshangilia Nape wakati akipita kwenye mita hiyo
Nape akiwashukuru wananchi waliokuwa wakimshangilia wakati wakipita kwenye mitaa hiyo
Baadhi ya viongozi wakimsubiri kumlaki Nape kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Songea mjini
Nape akisalimiana na viongozi kwenye Ofisi hiyo ya CCM wilaya ya Songe mjini
Nape akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM Songea mjini
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia