- Ujumbe
wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro
Nyalandu (wa tatu kushoto) ukiwa katika picha ya pamoja na Mwana wa
Mfalme wa Saudia Prince Bandar (wa nne kushoto) jijini Riyadh, Saudi
Arabia. Wengine kutoka kushoto ni Balozi wa Tanzania Saudi Arabia Prof.
Abdillah Omari; Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhem
Meru; Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii Mhe. Peter Msigwa; Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe. James Lembeli;
Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi na Mkurugenzi wa Idara ya
Wanyamapori Herman Keraryo.
|