Waziri wa
Viwanda na Biashara akutana na wafanyabiashara wa Mkoani Njombe na kuzungumza
nao fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa huo mara baada ya kupokewa na Mkuu wa
Mkoa wa Njombe Dkt. Rehema Nchimbi.
wafanyabiashara wa Mkoani Njombe
Mlima wa Liganga
uliopo mkoani njombe wilaya ya Ludewa ambapo kampuni ya Tanzania China
International Mineral Resources Ltd.
Waziri
wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kiogoda (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji
wa kampuni ya Tanzania China International Mineral Resources Ltd, Erick
Mwingira juu ya miradi hiyo ya makaa ya mawe, alipotembelea miradi ya Chuma cha
Liganga na Makaa ya mawe ya Mchuchuma. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la
Taifa (NDC), Mligi Mkucha.
Picha ya pamoja ya
Mh. Waziri wa Viwanda na Biashara pamoja na watafiti na Viongozi wa serikali.
Waziri
wa Viwanda na Biashara katika mlima wa liganga.