Magari yakiwa yamepaki katika barabara ya kutokea katika kituo kichulikanacho kama kona |
Blog ya libeneke la kaskazini inapenda sana kuwapongeza jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani kwa kazi wanayofanya na waliofanya ya kubadilisha njia ya magari madogo ya abiria (dala dala ) kitu ambacho kimesababaisha foleni ya kuingia katikati ya mji kupungua lakini sio hivyo tu bali wananachi wanalalamkia jeshi hilo kwa kushindwa kufuatilia njia ambazo magari hayo yamekuwa yakipita kwani katika bara bara ya kutokea ijulikanayo kwa jina la kona kumekuwa na kerokubwa kwani magari mengi yamekuwa yakipaki hapo kwa ajili ya standi badala ya kupaki ndani ya standi ya daladala hiyo ali ambayo inawapa kero watembea kwa miguuu pamoja na waendesha magari binafsii kwani kumekuwa na kurukushani za hapa na pale tunaomba jeshi hilo lichukue hatu mara moja