TASWIRA YA NILIPOTEMBELEA N.Y.U FM RADIO ILIYOPO KISONGO MKOANI ARUSHA

 matangazaji akiwa anaendelea na kipindi wakati nilipokuwa nimeingia kuangalia baadhi ya mambo ambayo N.Y.U radio wanayafanya
 Huu ndio muonekano wa sehemu wageni wanapo kaa kwa ajili ya mahojiano wakati wamealikwa au wametembelea  radio hii



nikiwa na msikiliza mtangazaji wa zamu akiwa anaendelea kuendesha kipindi 

NYU fm radio ni radio inayopatikana jijini Arusha ikiwa  ipo chini ya  baba muheshimiwa nabii geodavie na  inapatikana katika mikoa zaidi ya mitano hapa nchini  ikiwemo Arusha ,kilimanjaro ,tanga  ,manyara na morogoro katika friqunce ya 99.2 fm  isikilize sasa

N.Y.U FM Radio is a Christian media, broadcasting to millions of listeners from northern zone of Tanzania, Inspiring them to the next prosperous level spiritually, mentally and physically!!!

Thanks to the vision of the founding President of GeorDavie Ministries Int'l/N.Y.U
H.E. Hon. Dr. GeorDavie.
N.Y.U kirefu chake ni, "Ngurumo Ya Upako" Muanzilishi na Mmiliki wake ni Baba, Mheshimiwa, Nabii, Dr. GeorDavie.

N.Y.U FM RADIO ni "NGUVU INAYOSAFIRI - NURU INAZIDI KUNG'AA" na ni,
"SUPER BOMBA"

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post