Muonekano wa maeneo mbalimbali ya mji wa moshi hapa ni mzunguko wa kuelekea KCMC |
Camera ya libeneke la kaskazini blog ilipowafuma wapita njia walipokuwa wanasoma magazeti |
mfanyabiashara wa ndizi akiwa anasubiri kuvuka barabara ndani ya mji wa moshi