MREMBO: NIMESALI BILA NGUO KANISA LA FREEMASON

Mrembo, Happiness Wilfred Nassari (27) anayedai kushiriki imani ya kifreemason.

Katika mahojiano yaliyofanyika hivi karibuni Bamaga, Mwenge jijini Dar, Happiness alisema kuwa, alianza kuingia kwenye imani hiyo kwa kwa kupitia kaka yake mmoja (jina tunalo) ambaye ni tajiri wa kupindukia kutokana na kuwa mshiriki wa Freemason.


“Nilipojiunga ilikuwa si kwa matakwa yangu, kwani nilianza kwa kupata matatizo ya kuumwa magonjwa ya ajabuajabu, ikiwemo kutokwa na wadudu usoni kiasi cha kunitoa vidonda,” alisema mrembo huyo huku akionesha makovu ya vidonda hivyo.

“Hali ilipokuwa mbaya, ilibidi niende kwa mganga mmoja wa kienyeji ambaye aliniambia nimetupiwa majini ya kunuka ambayo yanabadilika harufu kila mara, lakini alitaka nimlipe shilingi milioni 5 ili anitibie, nikashindwa, nikaondoka.

“Kuna wakati vile vidonda vilisababisha nianze kufuatwa na nzi wengi hadi watu wengine wakawa wanadai kusikia harufu, ndipo nikaenda kwenye Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Arusha  kwa Mchungaji Olduvic kuombewa ndipo nzi wakatoweka na harufu kupungua,” alisem

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post