Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Charles Msonde
Jumla
ya wanafunzi 29,770 waliofanya mitihani ya kidato cha pili mwana 2014,
ambayo ni ya kwanza kusimamiwa na NECTA watalazimika kurudia mitihani
hiyo baada ya kukosa alama za kuwvusha kidato cha tatu. Wanafunzi
375,434 waliofanya mitihani hiyo wamefanikiwa kuendelea na kidato cha
tatu!BONYEZA HAPA KUSOMA MATOKEO YENYEWE