Picha mbalimbali zikionyesha matukio mbalimbali yaliyojiri katika
tukio la PSPF INTER -COLLEGE BONANZA lililofanyika katika viwanja vya
chuo cha uhasibu jijini Arusha mwishoni mwa wikii liyopita ambalo
lilikuwa na lengo la kutoa elimu kwa wanachuo mbalimbali kuhusu mfuko wa
hifadhi ya jamii wa PSPF(picha na woinde shizza,Arusha