Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha Kikao cha
Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma. Kulia ni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kushoto ni
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed
Shein wakifurahia jambo kabla ya kuanza kwa kikao cha cha Kamati Kuu ya
Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli wakati alipowasili mkoani Dodoma kwa ajili ya kikao hicho
cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli wakielekea kwenye kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa
kilichofanyika Mkoani Dodoma. PICHA NA
IKULU